Jump to content

Help:Page history

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
This is an archived version of this page, as edited by MRISHO MGAWE ABDU-LA-HZIZ (talk | contribs) at 07:46, 23 February 2018. It may differ significantly from the current version.

MRISHO MGAWE ABDU-LA-HZIZ,NI MTANZANIA ALIYEZALIWA 25/06/1989 KATIKAN KIJIJI CHA KASISI WILANI URAMBO KATIKA MKOA WA TABORA,,NI MWANAUCHUMI NA MUHAMASISHAJI WA VIJANA KATIKA MASWALA YA UCHUMI ,KAPENI YAKE KUBWA NI KIJANA STITUKA MAGOLI YAMEHAMA, AKILENGA KUWAELEWESHA VIJANA KUTENENGENEZA FURSA ZA AJIRA WAO NA KUJIAJIRI KULIKO KUTEGEMEA SERIKALI. MRISHO MGAWE ABDU-LA-HZIZ PIA NI MTANGAZAJI WA RADIO KUBWA NCHINI TANZANIA NA AFRICA MASHARIKI YA EAST AFRICA RADIO INAYOMILIKIWA NA MFANYA BIASHARA MASHUHURI DR REGINALD MENGI,,ALIZALIWA HUKO URAMBO TABORA NA FAMILIA YA BWANA NA BIBI REHEMA MRISHO AMBAO WALIJALIWA KUPATA WATOTO 4 AMBAO NI PILI ,AISHA ,MISAMBWA NA MRISHO, MRISHO MGAWE ABDU-LA-HZIZ ALIPATA ELIMU YAKE YA MSINGI KATIKA SHULE YA MSINGI AZIMIO ILIYOPO IGOGO JIJINI MWANZA N BAADAE ALIHAMIA SHULE YA MSINGI KASISI WILAYANI URAMBO MKOANI TABORA AMBAKO ALIHITIMU ELIMU YA MSINGI MWAKA 2006,NA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI YA WAKATORIKI YA MUHAYO ZAMANI ST MARY, SHULE HII NDIYO ALIYOFUNDISHA BABA WA TAIFA LA TANZANIA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE MWAKA 1938 MPAKA 1945, ALIFANIKIWA KUFAULU NA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KAHORORO ILIYOPO MKOANI KAGERA AMBAPKO ALIKWENDA KUSOMA MASOMO YA JUU YA UCHUMI,HISABATI NA JIOGRAFIA ,AMBAPO ALISOMA KWA MIEZI SITA NA KUHAMIA MILAMBO HIGH SCHOOL TABORA MWAKA 2011 ,MNAMO MWAKA 2013 ALIFAULU MTIHANI WAKE WA KIDATO CHA SITA NA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU CHA TEOFILO KISANJI KILICHO[PO JIJINI MBEYA AMBAKO LAIKWENDA KUSOMA SHAHADA YA KWANZA YA UCHUMI,AKIWA CHUO KIKUU ALICHAGULIWA KUWA MBUNGE WA BUNGE LA WANAFUNZI NA BAADAE ALITEULIWA KUWA NAIBU WAZIRI WA ELIMU HAPO CHUONI, BAADAE ALITEULIWA KUWA MUWEKA HADHINA KWENYE SHIRIKISHO LA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU NYANDA ZA JUU KUSINI