WMDOC/Wikipedia leaflet/sw: Difference between revisions

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Line 44: Line 44:
Kutokana na kukua kwa Wikipedia, miradi shirikishi ilianzishwa ili kusaidia uboreshaji maudhui katika Kamusi hii Elezo. Baadhi ya miradi ya miradi hii imekuwa na kuweza kusimama pekee japokuwa bado ipo katika mradi mkubwa wa familia ya Wikipedia na kuna mahusiano ya moja kwa moja ya kila siku kati ya miradi hii na mradi mama. Baadhi ya miradi hii ni pamoja na:
Kutokana na kukua kwa Wikipedia, miradi shirikishi ilianzishwa ili kusaidia uboreshaji maudhui katika Kamusi hii Elezo. Baadhi ya miradi ya miradi hii imekuwa na kuweza kusimama pekee japokuwa bado ipo katika mradi mkubwa wa familia ya Wikipedia na kuna mahusiano ya moja kwa moja ya kila siku kati ya miradi hii na mradi mama. Baadhi ya miradi hii ni pamoja na:


Wiki Kamusi
'''Wiki Kamusi'''
Mradi wa Kamusi huru katika lugha mbalimbali
Mradi wa Kamusi huru katika lugha mbalimbali
http://www.wiktionary.org
http://www.wiktionary.org


Wiki vitabu
'''Wiki vitabu'''
mradi unaolenga utoaji wa masomo mbalimbali kwa wasomaji://www.wikibooks.org
mradi unaolenga utoaji wa masomo mbalimbali kwa wasomaji://www.wikibooks.org
Wikinukuu
'''Wikinukuu'''
sehemu huru ya kufanyia nukuu mbalimbali http://wikiquote.org
sehemu huru ya kufanyia nukuu mbalimbali http://wikiquote.org


Wiki vyanzo
'''Wiki vyanzo'''
Mradi wa vyanzo vya taarifa mbalimbali http://www.wikisource.org
Mradi wa vyanzo vya taarifa mbalimbali http://www.wikisource.org




Wiki Habari
'''Wiki Habari'''
Taarifa za matukio mbalimbali yaliyoandikwa http://www.wikinews.org
Taarifa za matukio mbalimbali yaliyoandikwa http://www.wikinews.org


Wikimedia Commons
'''Wikimedia Commons'''
a repository for pictures and other media files under free licenseshttp://commons.wikimedia.org
a repository for pictures and other media files under free licenseshttp://commons.wikimedia.org



Revision as of 20:28, 21 October 2005

Tafsiri ya Kiswahili:


Wikipedia ni nini?

Waweza kupata dhana juu ya kila mtu ulimwenguni kupata fursa ya kuvuna maarifa mbalimbali yaliyopo ulimwenguni. Hili ndilo linalofanyika katika wikipedia.

Wikipedia ni Kamusi ya bure kabisa ionayoweza kusomwa na kuhaririwa na mtu yeyote.

Mradi wa Kamusi wa Kimataifa

Mradi wa Wikipedia ya lugha ya Kiingereza ulianza mwezi Januari 15, 2001. Mradi uliofuiata ulikuwa wa lugha ya Kijerumani na sasa kuna mfumko wa lugha nyingi kadhaa Kiswahili kikiwa kimojawapo. Bado kuna jitihada za makusudi za kuufafanua mradi huu wa kimataifa. Licha ya kuwa Wikipedia ya Kiingereza iliyo na zaidi ya makala 700,000 inachukua chati ya kuwa Kamusi kubwa zaidi ya wikipedia, kuna zaidi ya makala milioni tatu katika lugha zaidi ya 150, nyingi ya wikipedia hizi tayari ni kubwa na baadhi ndio zinaanza.

Hakuna hajuaye kila jambo bali kila mmoja anayo maarifa fulani

Wikipedia ilianza kutokana na dhana hiyo hapo juu mathalani baada ya kung'amua kuwa kila mmoja ana maarifa fulani anayoweza kubadilishana na wenzake. Wahariri wa wikipedia ni wale wenye umri kati ya miaka saba hadi sabini na zaidi, kila mmoja kati ya hao uchagia kiasi fulani cha maarifa yao na kusaidia kufikia malengo ya kugawana maarifa toka mmoja hadi mwingine kufanikiwa. Ni imani yetu kuwa kila mmoja ana haki ya kujifunza na pia kuwa kuna jukumu la kila mmoja wewtu kutoa maarifa yake kwa wenzake.

Nani ni nani katika jumuiya nya Wikipedia?

Katika Wikipedia, kila mtu ana uhuru wa kuweka viungo na taarifa,kusahihisha na hata kuhariri makala zilizomo hapa. Hakuna makala za mwandishi mmoja katika wikipedia. Mradi huu ni shirikishi na maarifa huwekwa toka kundi la watu makumi hadi mamia. Watu hawa hubadilishana maarifa ya mambo wanayofahamu na kuhariri yale wajuayo ili kuweka maudhui murua katika kamusi hii. Matokeo ya wikipedia hayatafika mwisho, kazi za kuifanya wikipedia kuwa bora ni ya kila siku, kila wakati na mafanikio yake ni kuwa maudhui bora zaidi hupatikana kadri siku zinavyozidi kwenda.

Wachangiaji wanaweza kuweka akaunti zitakazokuwa na majina ya watumiaji na maandishi ya siri yatakayowasaidia kufungua akaunti zao, jambo hili ni nadra sana katika wikipedia na halitakiwi kabisa. Kazi mbalimbali za wikipedia huwekwa na watu wasiofahamika, wengi ni wale wanaopita tu katika wikipedia kusoma mambo mbalimbali na kujikuta wamechangia makala fulani kufuatia maarifa waliyonayo au kuhariri taarifa walizozikuta katika wikipedia. Kuna kundi kubwala watu wa aina hii ambao wameona umuhimu wa kuchangia maarifa yao kabisa baada ya kujaribu mara moja kama unavyoweza kufanya wewe sasa. Baada ya kutoa mchango wao wamekuwa na hadhi ya moja kwa moja ya kuwa wanajamii wanajitolea katika mradi wa Wikipedia. Mtazamo huu wa kutojali makundi ya aina za watu yameifanikisha sana Wikipedia kuweza kupata watu mbalimbali wenye kaida na uzoefu tofauti kufanya kazi pamoja kujenga wikipedia mbalimbali.

“Unaweza kuhariri ukurasa huu sasa!”

The key to Wikipedia‘s success is innovative new software known as “wiki.” Created by Ward Cunningham in 1995, this software makes it possible to create a dynamic website, in which all users can edit a webpage quickly and easily, using their personal web browsers. It‘s easy. It‘s fast. It‘s a wiki!

Wikiwiki – “fast” in Hawaian

The wiki language, known as wikitext, is much simpler than HTML. It is practically intuitive, so that anyone can learn it in just a few minutes. For example, to italicize text, surround it with two apostrophes; use three for bolded text, and enclose a word in two brackets ([[]]) to create a link. The software used by Wikipedia is known as Mediawiki, and was developed with the specific goal of creating an encyclopedia in mind. Today, Mediwiki software is distributed under a General Public License (GPL). It is used by many other wikis, though Wikipedia is still the largest wiki in existence.

Nawezaje kuwa mmoja wa familia ya wikipedia?

Ni jambo rahisi tu, unachotakiwa kufanya kuanzia sasa ni kuingia katika ukurasa wa wikipedia na kisha kuhariri taarifa mbalimbali zilizopo. Ni imani yetu kuwa utakuwa unafika katika ukurasa huo mara kwa mara na kuwa miongoni mwa watu wanaokuza mradi mkubwa kabisa wa kamusi inayoendeshwa katika teknolojia ya intaneti.

The GNU free documentation license

All original material contributed to Wikipedia is considered to be free content under the GNU Free Documentation License. This means that all of our content can be freely used, freely edited, freely copied, and freely redistributed, subject to the restrictions of that license.

Miradi shirikishi ya Wikipedia

Kutokana na kukua kwa Wikipedia, miradi shirikishi ilianzishwa ili kusaidia uboreshaji maudhui katika Kamusi hii Elezo. Baadhi ya miradi ya miradi hii imekuwa na kuweza kusimama pekee japokuwa bado ipo katika mradi mkubwa wa familia ya Wikipedia na kuna mahusiano ya moja kwa moja ya kila siku kati ya miradi hii na mradi mama. Baadhi ya miradi hii ni pamoja na:

Wiki Kamusi Mradi wa Kamusi huru katika lugha mbalimbali http://www.wiktionary.org

Wiki vitabu mradi unaolenga utoaji wa masomo mbalimbali kwa wasomaji://www.wikibooks.org

Wikinukuu sehemu huru ya kufanyia nukuu mbalimbali http://wikiquote.org

Wiki vyanzo Mradi wa vyanzo vya taarifa mbalimbali http://www.wikisource.org


Wiki Habari Taarifa za matukio mbalimbali yaliyoandikwa http://www.wikinews.org

Wikimedia Commons a repository for pictures and other media files under free licenseshttp://commons.wikimedia.org

The Wikimedia Foundation

The Wikimedia Foundation, based in Florida, USA, is the parent organization of Wikipedia and its sister projects. It is a non-profit organization with the goal of providing free knowledge to every person in the world. Wikimedia provides the hardware equipment and covers the costs of bandwidth and domains. As of 2005, Wikipedia was one of the 50 most popular websites on the Internet.

How can I help?

The Wikimedia Foundation relies on public donations to run its wiki-based projects. If you want to ensure that Wikipedia and all the other Wikimedia projects continue to grow and flourish, donate online with PayPal or MoneyBookers. Our account name is donation@wikipedia.org. PayPal allows for one time, monthly and yearly payment options. For more information, see our fundraising page at http://wikimediafoundation.org/wiki/Fundraising.

Unaweza kuchangia kupitia anuani ya Posta

You can also send donations via snail-mail to Wikimedia‘s main office at the following address:

Wikimedia Foundation Inc.
200 2nd Ave South, #358
St. Petersburg, FL 33701-4313

If sending donations from outside the United States, please note that an international money order or a check payable in a United States bank would be appreciated, to avoid collection costs. Please do not send currency by mail.